News
Ken Gold imeshuka rasmi Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union kwa mabao 2-1 uliopigwa ...
SIKU moja baada ya kiungo wa Simba, Charles Ahoua kukosa nafasi ya wazi ambayo ingeisaidia timu hiyo kushinda mabao mawili dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye uwanja wa ...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Alphonce Simbu ameng'ara katika mbio za Boston Marathon ambazo zimemalizika muda mchache uliopita nchini Marekani baada ya kushika nafasi ya pili.
MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya ...
MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya ...
WIKI hii wachezaji na mashabiki wa Liverpool watakuwa sebuleni macho yote yakiutazama mchezo wa London dabi wa Arsenal dhidi ...
USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Namungo dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, umeifanya timu hiyo kuvunja mwiko wa ...
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos amesema ni ngumu kwake kutaja anahitaji kumaliza na clean sheet ngapi msimu huu kwenye Ligi Kuu ...
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema ndani ya kikosi hicho kuna tatizo kwa wachezaji wake kushindwa kuzuia mashambulizi ...
KUELEKEA Kombe la Dunia 2006, Shirikisho la soka la Kimataifa, FIFA, lilitoa orodha ya viwango vya ubora wa kila nchi duniani ...
Mechi za soka 24 za madaraja matatu ya juu ya ligi Italia zilizokuwa zichezwe leo Jumatatu, Aprili 21, 2025, zimeahirishwa ...
DAKIKA za jioni, Jean Charles Ahoua alimzunguka kipa wa Stellenbosch, Oscarine Masuluke na kisha kuupiga mpira nje ya nyavu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results