Kulingana na hali ya sasa tunaweza kusema kuwa Zari 'The Bosslady' Hassan alifanikiwa sana kuwaweka chini ya ulinzi Wema ...
Zamani ilikuwa ili msanii wa muziki aweze angalau kurekodi wimbo, ni lazima apambane kufika studio za majayanti kama kina P Funk au Master Jay. Na akifika hapo inabidi awahakikishie kwamba ...
Ni miaka 10 sasa jina la Billnass limekuwa likizunguka katika Bongofleva akitoa ngoma kali, huku silaha yake kubwa ikiwa ni uwezo wa kutengeneza ladha (melodic rap) ya kipekee ambayo ...
Imethibitishwa kuwa, mshambuliaji wa Al Masry, John Ibuka, raia wa Nigeria ambaye alifunga bao la pili waliposhinda 2-0 dhidi ...
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim amemtaka mkurugenzi wa ufundi wa timu hiyo, Jason Wilcox kushirikiana naye vilivyo ...
Simba ina kibarua kizito Jumatano hii dhidi ya Al Masry huku ikifahamu kwamba ili kuvuka moja kwa moja kucheza nusu fainali, ...
Mtwara. Wenyeviti wa vyama vikuu vya ushirika vya Tamcu, Mamcu, na Tanecu wamevitaka vyama vya siasa vya upinzani kuacha ...
Shinyanga. Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) umeendelea kuleta matumaini ...
Matukio haya yaliwalazimu viongozi wa Bunge kutumia mamlaka yao kuchukua hatua za kinidhamu kwa mujibu wa kanuni zilizopo.
Dar es Salaam. Kijana Gwakisa (27) Hobokela mkazi wa Tabata Kisiwani na Kelvin Montana Mushi (19) wa Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wametoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa zaidi ya ...