Katika nyakati za lala salama jana, akifungua mkutano wa Baraza Kuu uliofanyika Dar es Salaam, Mbowe aliendelea kusisitiza kuwa hakuna mkubwa kuliko chama hicho huku akiwatahadharisha wanachama ...
Amos Khaemba, a journalist at TUKO.co.ke, brings over three years of experience covering politics and current affairs in Kenya. Nairobi - A 29-year-old man accused of murdering his wife in Huruma ...
Kijana Rashid Mussa (24) enzi za uhai wake. Morogoro. Mwili wa kijana mwenye ualbino, Rashid Mussa (24), umekutwa katika shamba la mtu asiyejulikana, baada ya kutoweka nyumbani kwake kwa siku tatu.
Nne; Nandy mwenye EP tatu, anakuja na albamu ya pili wakati mume wake Billnass ambaye alitanguliwa kutoka kimuziki kabla yake kupitia wimbo wake, Raha (2014) chini ya Rada Entertainment, akiwa ...
Nimekua msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu sikatai ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumuwekezea.
Song mwenye umri wa miaka 48 anachukua nafasi ya Mswizi Raoul Savoy, ambaye alitimuliwa Oktoba kuelekea mwisho wa kampeni ya CAR ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 (Afcon) 2025.
Watoto hao, wakazi wa Tandika, jijini Dar es Salaam, ni Husna Gulam mwenye miaka mitatu na Mahdi Mohamed (4). Taarifa za kutoweka watoto hao siku tano zilizopita zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii, ...
CCM wanahitaji Makamu Mwenyekiti msemaji, mwenye mvuto, ushawishi wa makundi na rika tofauti, mtu mkweli na asiyeyumbishwa kwa maslahi binafsi au ya kikundi. Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM ni lazima ...
Habari kutoka ndani ya Yanga zinaeleza kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amepewa mkataba huo baada ya Ramovic kumkubali, ingawa suala la kuanza kutumika linategemea na mabosi wa klabu hiyo ...
Mtu aliyekuwa na umri mkubwa duniani kutoka nchini Japan amefariki wiki kadhaa baada ya kusherehekea miaka 117 tangu azaliwe. Misao Okawa alifariki katika kituo cha uangalizi mjini Osaka,mji ambao ...