Baada ya kushindwa kumaliza mashindano ya Kimataifa ya gofu ya wanawake nchini Afrika Kusini mwezi Februari mwa mwaka huu, Vicky Elias amepania kufuta makosa yake katika mashindano ya wazi ya wanawake ...