Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkopo huu unajumuisha bima ya maisha katika kipindi cha mkopo ambao mtumishi atachukua.
T1 International ni shirika lisilo la kiserikali linalopigania upatikanaji wa insulini kwa bei nafuu na huduma bora kwa watu wenye kisukari aina ya kwanza kote duniani.
Umri mrefu unaandaliwa kwa kuzingatia masuala mbalimbali ya kiafya, kiakili, lishe na kimazingira, kama wanavyopendekeza ...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendelea na juhudi zake za kutoa elimu kwa watumishi wa Mahakama kuhusu mafao na uwekezaji ili kuwaandaa vyema kwa maisha baada ya kustaafu.
Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), mtoto mmoja kati ya 100 duniani anapatwa na ugonjwa huu, huku tafiti za Kituo cha ...
Kombora lilifyatuliwa na kutimua wingu la vumbi la kahawia angani likielekea eneo la mstari wa mbele wa vita . Muda mfupi ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya shule nchini Japani. Shule za msingi na sekondari za chini nchini Japani zina ...
KUNA wakati unaiacha ndoto mpaka mwisho ufike. Usiikatishe. Ukiikatisha maisha yanakuja na mvurugano wa ajabu. Kama Jonas ...
DAR ES SALAAM: WATANZANIA watano huenda wakabadilisha mwelekeo wa maisha yao ikiwemo kujikwamua kiuchumi baada ya kila ...
Benki ya Akiba (ACB) imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika kituo cha kuelelea watoto yatima cha Chakuwama kilichopo ...
ZANZIBAR: DEVELOPMENT partners (DPs) have expressed satisfaction with the manner in which funds earmarked for empowering ...
“Wanawake wanapopata rasilimali, wanaweza kujikomboa kutoka katika umaskini na kuchangia maendeleo ya jamii nzima.” Jua la ...