Wakati Chadema na CCM vikiendelea kurushiana maneno majimboni, ACT Wazalendo kimesema kipaumbele chake kwa sasa ni kupigania ...
Benki ya Akiba (ACB) imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika kituo cha kuelelea watoto yatima cha Chakuwama kilichopo ...
Mwalongo amesema kuwa, kupitia ushuhuda wake ana matumaini ya kuhamasisha jamii ya Kijiji cha Lugawala na maeneo jirani kuacha matukio maovu na kujenga maisha bora. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ...
“Mkopo wa kununua ng’ombe ulikuwa fursa yangu ya kuanza kujenga maisha bora,” anasema kwa tabasamu. “Haikuwa tu kuhusu kupata mkopo, bali pia kujifunza na kujenga ujasiri wa kuboresha maisha yangu.” ...
Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Stephen Murimi Magoiga, alifungua semina hiyo na kusema kuwa ni muhimu kwa watumishi wa Mahakama kuitumia fursa hii kujifunza ili ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya shule nchini Japani. Shule za msingi na sekondari za chini nchini Japani zina ...
Kombora lilifyatuliwa na kutimua wingu la vumbi la kahawia angani likielekea eneo la mstari wa mbele wa vita . Muda mfupi ...
Watu 9 kati ya 10 waliofuatiliwa kwenye shindano, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara 150 au 200 ...
Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), mtoto mmoja kati ya 100 duniani anapatwa na ugonjwa huu, huku tafiti za Kituo cha ...
KUNA wakati unaiacha ndoto mpaka mwisho ufike. Usiikatishe. Ukiikatisha maisha yanakuja na mvurugano wa ajabu. Kama Jonas ...
wahariri wa majarida na wanahabari wa mitandao ya kijamii kukabiliana na mtazamo huu wa “mpya ni bora.” Ripoti hiyo imesema wanaweza kufanya hivyo kwa kukuza mitindo endelevu ya maisha, kuwahimiza ...