News

Rafiki yake wa utotoni, Chulwoo Lee, anasema kuwa Yoon hakuwa tu mrefu na mwenye nguvu darasani, bali pia alikuwa na maamuzi ya haraka na msimamo mkali kwa jambo analoamini kuwa ni sahihi.
Kwa Kijapani unapomuomba mtu afanye kitu, unasema kwa kutumia vitenzi vya umbo la TE, kisha unaongeza KUDASAI (Tafadhali). Vitenzi vya umbo la TE ni vile vinavyonyambulika ambavyo vinaishia na TE ...
"Alinitumia pesa za kununua ndege ya injini mbili ambayo ninataka kuinunua," anasema Errol, akielezea mara ya mwisho alipokutana na mtoto wake mwenye ushawishi. "Mimi ni mfupi kidogo na kwahivyo ...
KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, inatakiwa kuwa makini na mwamuzi wa mchezo wao wa marudiano kutokana na rekodi ...
Ili kumtambua mtoto mwenye usonji, kuna dalili maalum zinazoweza kuonekana, ambapo miongoni mwa tabia kuu ni pamoja na ugumu katika kuelewa na kutafsiri hisia za watu wengine, hali inayoweza kuathiri ...
Mwalimu George Rubagumya, mwenye ulemavu wa macho na mkazi wa Segerea, Dar es Salaam, ameiomba serikali na wadau wa maendeleo kumsaidia kifedha ili kukamilisha na kusambaza teknolojia yake ya ...
Choki mwenye rekodi ya kucheza jumla ya mapambano kumi, ameshinda tisa kati ya hayo matatu ameshinda kwa Knockout na moja akiwa ametoka sare na hajawahi kupoteza pambano lolote katika ngumi za kulipwa ...
Kiungo huyo raia wa Kenya mwenye uwezo wa kushambulia kutokea kulia na kushoto, pia anacheza timu ya Taifa ya Kenya maarufu Harambee Stars. Taarifa kutoka Kenya zinabainisha kuwa, mabosi wa Yanga wana ...