Katika jaribio la kwanza la kisayansi, panya aliye na wazazi wawili wa kiume amefanikiwa kufikia utu uzima. Watafiti walifanikisha hatua hii muhimu kwa kutumia uundaji wa seli za kiinitete ...
Kwao na kwetu mara nyingi suala hili limevuka ufahamu, kwa sababu ni nani anayeweza kufikiria kuwa mtu mwenye afya njema mwenye umri wa miaka 40 angeweza kupata gonjwa hili hatari? - Eileen O ...
Mother-In-Law actress Sophia Muhia, alias Maria Madusko, has introduced her gorgeous daughter online. Mother-In-Law actress Maria with her daughter. Source: TikTok Maria in a video she shared on ...
MKURUGEZNI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema hospitali hiyo, inatarajia kuja na kifaa cha kisasa cha kupima ugonjwa wa kisukari kwa njia ya mate. Amesema ...
Kinara wa mabao ni Clement Mzize wa Yanga mwenye tisa. Akizungumza na Mwananchi, Fei Toto alisema kitendo cha kufikisha asisti 10 kwake ni kitu kizuri kwani ni mara ya kwanza kinatokea kwenye maisha ...
"Mtu mzima mwenye akili timamu anauliza eti CCM itaondoka lini madarakani? CCM haiondoki, Ng’o!" alisema kwa msisitizo. Ziara ya Wasira inakuja siku chache baada ya kuteuliwa na kupitishwa kushika ...
Ubize wa masomo hufanya wakae mbali na mambo ya kijamii ikiwemo uhusiano? Lakini kwa mwanamke mwenye akili, ndoa siyo jambo la bahati. Ndoa ni uamuzi sahihi wa kuchagua mazingira sahihi ya kupata mume ...
It looks like you're using an old browser. To access all of the content on Yr, we recommend that you update your browser. It looks like JavaScript is disabled in your browser. To access all the ...