Mwanaharakati msomi nchini Uganda ambaye alikamatwa baada ya kumuita Rais Yoweri Museveni "jozi ya makalio", hatimaye amepewa dhamana. Dkt Stella Nyanzi alifikiwa mahakamani akionekana dhaifu.
Mwanaharakati msomi wa Uganda Dkt. Stella Nyanzi amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela. Nyanzi alipatikana na hatia ya unyanyasaji wa kimtandao pamoja na mawasiliano ya udhalilishaji dhidi ya rais ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results